CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 36
Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi. 36. Maneno tata na data yana sauti zinazokaribiana. Ni neno lipi lenye sauti zinazokaribiana kimatamshi na…
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Msamiati, Maneno Tata
Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi.
36. Maneno tata na data yana sauti zinazokaribiana. Ni neno lipi lenye sauti zinazokaribiana kimatamshi na neno pua?
- Abua
- Bpua
- Ctua
- Dpoa
Answer
A. bua
/p/ na /b/ hukaribiana.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye maana kuwa 'Baba alimsaidia mwalimu kazi kwa niaba ya mwanafunzi.'Question 37
- Chagua kiambishi sahihi kukamilisha nafasi katika sentensi ifuatayo: Nyumba nzuri ___lizojengwa bondeni zimependezaQuestion 38
- Amina alifika sokoni akapata mboga zote zimeuzwa. Kwa hivyo:Question 39
- Chagua ukanusho wa sentensi ifuatayo: Chakula kingepikwa wageni wangekula.Question 40
- Mama alimfanya mtoto acheze uwanjani. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:Question 41
- Usemi halisi wa sentensi: Mwalimu alisema kuwa wanafunzi wangeenda likizoni siku hiyo, ni:Question 42