CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 35
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 35.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi kati ya majibu manne uliyopewa baada ya kifungu.
"Kocha __26__ mipira ya kuchezea hapa na __27__ ya ziada." Nahodha alimweleza mchezaji. "Hakikisha kuwa __28__ kila asubuhi," aliendelea nahodha huyo. __29__ "Ninajua fika kuwa __30__ afya ni bora kuliko kukaa bila mazoezi." Mchezaji alijibu kwa furaha.
Mchezaji yule __31__ haraka huku amebeba vifaa vyake na kuelekea uwanjani. Katika siku tatu __32__, mchezaji __33__ maagizo ya kocha wake. Alifanya mazoezi kwa bidii sana __34__ kulala mchana kutwa, alijifanyia mazoezi uwanjani. __35__ muda wake kwa mambo yasiyo na faida mwilini.
35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 35.
- AHutapoteza
- BHukupoteza
- CHakupoteza
- DHatapoteza
Answer
C. Hakupoteza
Simulizi ya wakati uliopita: hakupoteza.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi. 36. Maneno tata na data yana sauti zinazokaribiana. Ni neno lipi…Question 36
- Chagua jibu lenye maana kuwa 'Baba alimsaidia mwalimu kazi kwa niaba ya mwanafunzi.'Question 37
- Chagua kiambishi sahihi kukamilisha nafasi katika sentensi ifuatayo: Nyumba nzuri ___lizojengwa bondeni zimependezaQuestion 38
- Amina alifika sokoni akapata mboga zote zimeuzwa. Kwa hivyo:Question 39
- Chagua ukanusho wa sentensi ifuatayo: Chakula kingepikwa wageni wangekula.Question 40
- Mama alimfanya mtoto acheze uwanjani. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:Question 41