CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026: Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) (Test 10)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 13 questions
Topics: Kuandika, Kusoma.
All 13 questions with answers
- Question 1: SEHEMU YA A: KUANDIKA (alama 15) Andika insha kuhusu: WEZI WA MIFUGO KIJIJINIAnswer: WEZI WA MIFUGO KIJIJINI Wizi wa mifugo ni tatizo kubwa linaloathiri jamii nyingi vijijini. Wizi huu…
- Question 2: SEHEMU B (Alama 35) ZOEZI II: FASIHI SIMULIZI (alama 15) (a) Andika tofauti tano kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi. Ufuate mfano…Answer: 1. Fasihi simulizi hubadilika kulingana na msimulizi lakini fasihi andishi hubaki ileile. 2. Fasihi simulizi…
- Question 3: (b) Andika manufaa matatu ya fasihi katika jamii. (Alama 3)Answer: Hufundisha maadili mema; huburudisha jamii; huhifadhi utamaduni.
- Question 4: (c) Taja aina zozote mbili za nyimbo. (Alama 2)Answer: Nyimbo za kazi; bembelezi (nyimbo za kubembeleza watoto).
- Question 5: ZOEZI III: NOVELA (alama 10) (a) Taja wahusika wawili katika sehemu hii ya novela. (Alama 2)Answer: Bahati na Bwana Patel.
- Question 6: (b) Taja mandhari yanayojitokeza katika sehemu hii ya novela. (Alama 1)Answer: Nyumbani kwa Bwana Patel.
- Question 7: (c) Jadili aina mbili za maudhui yaliyoangaziwa katika sehemu hii ya novela. (Alama 4)Answer: Elimu na ndoto: Bahati anafufua ndoto yake ya kuwa daktari na anauliza maswali bila kikomo.…
- Question 8: (d) Taja mbinu za lugha zilizotumiwa katika vifungu vifuatavyo. (Alama 3) (i) Amechana mbuga (ii) Aulize maswali mfululizo kama cherehani…Answer: (i) Nahau (ii) Tashbihi (iii) Nahau
- Question 9: ZOEZI IV: WIMBO (ALAMA 10) (a) Nyimbo za aina hii huitwaje? (Alama 1)Answer: Wimbo wa dansi (wa burudani).
- Question 10: (b) Eleza mazingira ambamo nyimbo za aina hii huimbwa. (Alama 2)Answer: Wakati wa sherehe na hafla za burudani, na watoto au vijana wanapokusanyika kucheza.
- Question 11: (c) Jadili sifa zozote tatu za nyimbo za aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu. (Alama 3)Answer: Kurudiarudia maneno, kama "yoyoyo" na "tikisa bega"; lugha rahisi; mwaliko wa kucheza ("cheza tikisa bega").
- Question 12: (d) Nyimbo za aina hii huwa na manufaa gani katika jamii? (Alama 2)Answer: Huburudisha jamii, na huleta watu pamoja.
- Question 13: (e) Taja wahusika wawili katika wimbo huu. (Alama 2)Answer: Tichi na Lulu.