naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 12

(d) Nyimbo za aina hii huwa na manufaa gani katika jamii? (Alama 2)

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi

Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.

Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Tichi yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi upendo yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega,
Tikisa bega Tikisa bega
Kata mauno, kata mauno, kata mauno.

(d) Nyimbo za aina hii huwa na manufaa gani katika jamii? (Alama 2)

Answer

Huburudisha jamii, na huleta watu pamoja.

Watu wanaocheza pamoja hufurahi na kujenga urafiki.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test