CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 11
(c) Jadili sifa zozote tatu za nyimbo za aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu. (Alama 3)
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.
Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Tichi yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi upendo yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega,
Tikisa bega Tikisa bega
Kata mauno, kata mauno, kata mauno.
(c) Jadili sifa zozote tatu za nyimbo za aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu. (Alama 3)
Answer
Kurudiarudia maneno, kama "yoyoyo" na "tikisa bega"; lugha rahisi; mwaliko wa kucheza ("cheza tikisa bega").
Angalia maneno yanayorudiwa, maswali na majibu ("Jina lako nani? Jina langu Tichi"), na maagizo ya kucheza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (d) Nyimbo za aina hii huwa na manufaa gani katika jamii? (Alama 2)Question 12
- (e) Taja wahusika wawili katika wimbo huu. (Alama 2)Question 13
- SEHEMU YA A: KUANDIKA (alama 15) Andika insha kuhusu: WEZI WA MIFUGO KIJIJINIQuestion 1
- SEHEMU B (Alama 35) ZOEZI II: FASIHI SIMULIZI (alama 15) (a) Andika tofauti tano kati ya fasihi simulizi na fasihi…Question 2
- (b) Andika manufaa matatu ya fasihi katika jamii. (Alama 3)Question 3
- (c) Taja aina zozote mbili za nyimbo. (Alama 2)Question 4