CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 3
(b) Andika manufaa matatu ya fasihi katika jamii. (Alama 3)
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
(b) Andika manufaa matatu ya fasihi katika jamii. (Alama 3)
Answer
Hufundisha maadili mema; huburudisha jamii; huhifadhi utamaduni.
Fasihi hufunza, huburudisha na kuhifadhi mila na historia ya jamii.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (c) Taja aina zozote mbili za nyimbo. (Alama 2)Question 4
- ZOEZI III: NOVELA (alama 10) (a) Taja wahusika wawili katika sehemu hii ya novela. (Alama 2)Question 5
- (b) Taja mandhari yanayojitokeza katika sehemu hii ya novela. (Alama 1)Question 6
- (c) Jadili aina mbili za maudhui yaliyoangaziwa katika sehemu hii ya novela. (Alama 4)Question 7
- (d) Taja mbinu za lugha zilizotumiwa katika vifungu vifuatavyo. (Alama 3) (i) Amechana mbuga (ii) Aulize maswali…Question 8
- ZOEZI IV: WIMBO (ALAMA 10) (a) Nyimbo za aina hii huitwaje? (Alama 1)Question 9