CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 9
ZOEZI IV: WIMBO (ALAMA 10) (a) Nyimbo za aina hii huitwaje? (Alama 1)
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.
Jina lako nani yoyoyo,
Jina langu Tichi yoyoyo,
Unaishi wapi yoyoyo,
Naishi upendo yoyoyo,
Wamtaka nani yoyoyo,
Namtaka Lulu yoyoyo,
Japo kuwa humtaki mama nalia,
Cheza tikisa bega,
Tikisa bega Tikisa bega
Kata mauno, kata mauno, kata mauno.
ZOEZI IV: WIMBO (ALAMA 10)
(a) Nyimbo za aina hii huitwaje? (Alama 1)
Answer
Wimbo wa dansi (wa burudani).
Wimbo unawaalika watu kucheza: "Cheza tikisa bega … kata mauno".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (b) Eleza mazingira ambamo nyimbo za aina hii huimbwa. (Alama 2)Question 10
- (c) Jadili sifa zozote tatu za nyimbo za aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu. (Alama 3)Question 11
- (d) Nyimbo za aina hii huwa na manufaa gani katika jamii? (Alama 2)Question 12
- (e) Taja wahusika wawili katika wimbo huu. (Alama 2)Question 13
- SEHEMU YA A: KUANDIKA (alama 15) Andika insha kuhusu: WEZI WA MIFUGO KIJIJINIQuestion 1
- SEHEMU B (Alama 35) ZOEZI II: FASIHI SIMULIZI (alama 15) (a) Andika tofauti tano kati ya fasihi simulizi na fasihi…Question 2