CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026: Karatasi ya Marudio 2026
Test 13 — Karatasi ya Marudio 2026 · Karatasi ya Marudio 2026 · 31 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: Kifua kikuu ni ugonjwa gani?Answer: D. Ugonjwa ambukizi unaosababishwa na bakteria
- Question 2: Njia kuu ya kuambukizwa kifua kikuu ni ipi?Answer: C. Kupitia hewa mgonjwa anapopiga chafya
- Question 3: Mojawapo ya dalili za kifua kikuu niAnswer: D. kikohozi sugu
- Question 4: Ni hatua ipi ya kifua husaidia kuzuia maambukizi ya kifua kikuu?Answer: A. Kupata chanjo ya kifua kikuu
- Question 5: Kifua kikuu kinaweza kuzuiliwa kwaAnswer: A. kufunika mdomo wakati wa kukohoa
- Question 6: Watu wanashauriwa kufanya nini ili kusaidia kupambana na kifua kikuu?Answer: B. Kupata chanjo na kuhimiza wengine wapimwe
- Question 7: Ni ujumbe gani muhimu mwandishi anawasilisha katika kifungu hiki?Answer: D. Ugonjwa wa kifua kikuu
- Question 8: Shairi hili linazungumzia nini?Answer: B. Elimu na umuhimu wake
- Question 9: Mwandishi anashauri wanafunzi wafanye nini?Answer: B. Wasikilize walimu na wasome kwa bidii
- Question 10: Kulingana na shairi, elimu hutoa nini?Answer: C. Mwanga
- Question 11: Wazazi wanahimizwa kufanya nini?Answer: B. Kuwasaidia watoto wao
- Question 12: Dhamira kuu ya shairi hili ni gani?Answer: A. Elimu huleta maendeleo
- Question 13: Kibwagizo cha aya ya tatu niAnswer: A. ili taifa lipate maendeleo
- Question 14: Wanyama walikuwa na shida gani mwanzoni?Answer: D. Hawakuelewana kwa sababu walikuwa na sauti tofauti
- Question 15: Nani aliwapa ushauri wa kujifunza lugha moja?Answer: C. Bundi mwenye hekima
- Question 16: Lugha ya pamoja iliwasaidia kufanya nini?Answer: B. Kusaidiana na kuishi kwa amani
- Question 17: Ni mnyama yupi alitumia maneno mabaya?Answer: A. Fisi choyo
- Question 18: Unajifunza nini kutokana na hadithi hii?Answer: A. Lugha bora huleta umoja na amani
- Question 19: Jaza nafasi ya 19 kwa neno linalofaa.Answer: B. mazingira
- Question 20: Jaza nafasi ya 20 kwa neno linalofaa.Answer: B. chafu
- Question 21: Jaza nafasi ya 21 kwa neno linalofaa.Answer: C. sehemu
- Question 22: Jaza nafasi ya 22 kwa neno linalofaa.Answer: A. miti
- Question 23: Jaza nafasi ya 23 kwa neno linalofaa.Answer: B. kulinda
- Question 24: Alamsiki ni salamu ya wakati upi?Answer: B. Usiku
- Question 25: Baba atasafiri kesho kwenda kijijini. Sentensi hii inaonyesha wakati upi?Answer: A. Wakati ujao
- Question 26: Kamilisha methali hii. Kuishi kwingi...Answer: A. kuona mengi
- Question 27: Andika kwa wingi Mihadarati inaathiri afyaAnswer: B. Mihadarati inaathiri afya.
- Question 28: Sentensi ipi ni ya kukanusha?Answer: D. Mtoto hakulala jana.
- Question 29: Andika sentensi hii katika hali ya udogo Mji umesafishwa.Answer: A. Kijiji kimesafishwa.
- Question 30: Neno mtoto liko katika ngeli yaAnswer: B. A-WA
- Question 31: Andika insha kuhusu methali ifuatayo: ASIYEFUNZWA NA MAMAYE HUFUNZWA NA ULIMWENGU. Andika hadithi inayoonyesha maana ya methali hii.…Answer: ASIYEFUNZWA NA MAMAYE HUFUNZWA NA ULIMWENGU Juma alikuwa mvulana wa miaka kumi na miwili aliyeishi na mama…