CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Alamsiki ni salamu ya wakati upi?
From Test 13 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Semi za Kuagana
Alamsiki ni salamu ya wakati upi?
- AAsubuhi
- BUsiku
- CMachweo
- DJana
Answer
B. Usiku
"Alamsiki" ni salamu inayotumika wakati wa usiku (hujibiwa kwa "Alkheri"), kama vile "Subalkheri" hutumika asubuhi.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Baba atasafiri kesho kwenda kijijini. Sentensi hii inaonyesha wakati upi?Question 25
- Kamilisha methali hii. Kuishi kwingi...Question 26
- Andika kwa wingi Mihadarati inaathiri afyaQuestion 27
- Sentensi ipi ni ya kukanusha?Question 28
- Andika sentensi hii katika hali ya udogo Mji umesafishwa.Question 29
- Neno mtoto liko katika ngeli yaQuestion 30