CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 2
Njia kuu ya kuambukizwa kifua kikuu ni ipi?
From Test 13 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Kifungu cha Ufahamu
Kifuakikuu ni ugonjwa ambukizi. Ugonjwa wa kifua kikuu husababishwa na aina tofauti za bakteria. Kwa kawaida huathiri mapafu, vilevile huweza kuathiri sehemu nyingine za mwili. Kifuakikuu huambukizwa kutoka kwa mgonjwa hadi mtu mwingine. Njia kuu ya maambukizi ni kupitia hewa hasa wakati mgonjwa anapokohoa, kupiga chafya au kutema mate.
Dalili za kawaida za maambukizi ya kifuakikuu ni kikohozi sugu, kukohoa damu, homa, kutokwa na jasho usiku na kukonda. Tiba ya ugonjwa wa kifuakikuu ni pamoja na kupewa tembe za kumeza na kudungwa sindano.
Uhamasishaji wa kijamii pia ni muhimu katika kuzuia maambukizi ya ugonjwa huu. Watu hushauriwa wakubali kupimwa hali zao za kiafya kila mara na kupewa chanjo kuzuia kupata kifua kikuu.

- AKula chakula kichafu
- BKupitia maji machafu
- CKupitia hewa mgonjwa anapopiga chafya
- DKusalimiana kwa mikono
Answer
C. Kupitia hewa mgonjwa anapopiga chafya
Kifungu kinasema njia kuu ya maambukizi ni "kupitia hewa hasa wakati mgonjwa anapokohoa, kupiga chafya au kutema mate."
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Mojawapo ya dalili za kifua kikuu niQuestion 3
- Ni hatua ipi ya kifua husaidia kuzuia maambukizi ya kifua kikuu?Question 4
- Kifua kikuu kinaweza kuzuiliwa kwaQuestion 5
- Watu wanashauriwa kufanya nini ili kusaidia kupambana na kifua kikuu?Question 6
- Ni ujumbe gani muhimu mwandishi anawasilisha katika kifungu hiki?Question 7
- Shairi hili linazungumzia nini?Question 8