CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026: Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10)
Kiswahili — Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) · Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati.
All 30 questions with answers
- Question 1: Tito na Meta walikutana wapi? (1 alama)Answer: Hotelini
- Question 2: Ni nini kilichomshangaza Meta? (1 alama)Answer: Tito kuwa na njaa sana saa nne kasorobo asubuhi.
- Question 3: Kwa nini Tito hakuwa amekunywa chai asubuhi? (1 alama)Answer: Aliamshwa alfajiri na kutumwa kwa binti Mawazo.
- Question 4: Tito alikuwa amepeleka ujumbe wa nini? (1 alama)Answer: Ujumbe wa harusi ya mama Zedi.
- Question 5: Ni nani aliyesimamia maandalizi ya sherehe? (1 alama)Answer: Bibi Mwendo
- Question 6: Ni nani alikuwa akisherehekea harusi? (1 alama)Answer: Mama Zedi
- Question 7: Ni chakula gani Tito alitarajia kupewa? (1 alama)Answer: Chai na viazi vitamu
- Question 8: Eleza hali ya Tito mwanzoni mwa mazungumzo. (2 alama)Answer: Alikuwa na njaa kali sana kwa sababu hakuwa amekunywa chai.
- Question 9: ___Answer: siku hiyo
- Question 10: ___Answer: haraka
- Question 11: ___Answer: nilianza
- Question 12: ___Answer: mlango
- Question 13: ___Answer: nyanya
- Question 14: ___Answer: matunda
- Question 15: ___Answer: furaha
- Question 16: Chumba maalum cha kupokelea wageni huitwa nini? (1 alama)Answer: Sebule
- Question 17: Andika neno ambalo si nomino ya wingi. (1 alama)Answer: Kitabu
- Question 18: Andika neno la heshima linalotumika kumshukuru mtu. (1 alama)Answer: Asante
- Question 19: Kamilisha sentensi: Uwanja ___ unapendeza. (1 alama)Answer: huu
- Question 20: Andika kinyume cha neno mfupi. (1 alama)Answer: mrefu
- Question 21: Andika kwa maneno: Wanafunzi 369. (1 alama)Answer: Wanafunzi mia tatu sitini na tisa
- Question 22: Chagua neno lisilo nomino. (1 alama)Answer: C. Kimbia
- Question 23: Andika kisawe cha neno barabara. (1 alama)Answer: njia
- Question 24: Kanusha sentensi: (1 alama) Daktari amefika.Answer: Daktari hajafika.
- Question 25: Kamilisha sentensi: (1 alama) Kiatu hicho ___ kimepotea.Answer: changu
- Question 26: Kwa nini mbuni hawezi kuruka? (1 alama)Answer: Kwa sababu ya uzito wake.
- Question 27: Mbuni ana vidole vingapi kwa kila mguu? (1 alama)Answer: Viwili
- Question 28: Mbuni hutaga mayai yake wapi? (1 alama)Answer: Katika kiota ardhini
- Question 29: Taja chakula kimoja cha mbuni. (1 alama)Answer: Majani ya mimea
- Question 30: Kifungu hiki kinazungumzia nini? (1 alama)Answer: Mbuni