CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 27
Mbuni ana vidole vingapi kwa kila mguu? (1 alama)
From Kiswahili — Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 26–30.
Kuna aina nyingi za nyuni. Wapo wanaopaa angani na wengine wasioweza kupaa. Mbuni ni mmojawapo wa ndege wasioweza kupaa. Yeye ndiye ndege mkubwa kuliko wote. Ana urefu wa mita mbili na nusu na uzito wa kilo mia moja na hamsini. Kwa sababu ya uzito wake, mbuni hawezi kupaa kama ndege wengine. Maumbile yake ni ya kipekee. Ana vidole viwili kwa kila mguu na miguu mirefu inayomwezesha kukimbia kwa kasi sana.
Mbuni hutaga mayai kumi katika kiota chake ambacho hutengenezwa ardhini. Mayai yake ni makubwa na mazito sana. Mbuni hula majani ya mimea na pia wanyama wadogo kama kobe, kasa na mjusi.
27. Mbuni ana vidole vingapi kwa kila mguu? (1 alama)
Answer
Viwili
"vidole viwili kwa kila mguu".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Mbuni hutaga mayai yake wapi? (1 alama)Question 28
- Taja chakula kimoja cha mbuni. (1 alama)Question 29
- Kifungu hiki kinazungumzia nini? (1 alama)Question 30
- Tito na Meta walikutana wapi? (1 alama)Question 1
- Ni nini kilichomshangaza Meta? (1 alama)Question 2
- Kwa nini Tito hakuwa amekunywa chai asubuhi? (1 alama)Question 3