naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 28

Mbuni hutaga mayai yake wapi? (1 alama)

From Kiswahili — Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 26–30.
Kuna aina nyingi za nyuni. Wapo wanaopaa angani na wengine wasioweza kupaa. Mbuni ni mmojawapo wa ndege wasioweza kupaa. Yeye ndiye ndege mkubwa kuliko wote. Ana urefu wa mita mbili na nusu na uzito wa kilo mia moja na hamsini. Kwa sababu ya uzito wake, mbuni hawezi kupaa kama ndege wengine. Maumbile yake ni ya kipekee. Ana vidole viwili kwa kila mguu na miguu mirefu inayomwezesha kukimbia kwa kasi sana.
Mbuni hutaga mayai kumi katika kiota chake ambacho hutengenezwa ardhini. Mayai yake ni makubwa na mazito sana. Mbuni hula majani ya mimea na pia wanyama wadogo kama kobe, kasa na mjusi.

28. Mbuni hutaga mayai yake wapi? (1 alama)

Answer

Katika kiota ardhini

Kiota hutengenezwa ardhini.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test