CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 22
Chagua neno lisilo nomino. (1 alama)
From Kiswahili — Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
22. Chagua neno lisilo nomino. (1 alama)
- AKitabu
- BNairobi
- CKimbia
- DFuraha
Answer
C. Kimbia
Kimbia ni kitenzi.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika kisawe cha neno barabara. (1 alama)Question 23
- Kanusha sentensi: (1 alama) Daktari amefika.Question 24
- Kamilisha sentensi: (1 alama) Kiatu hicho ___ kimepotea.Question 25
- Kwa nini mbuni hawezi kuruka? (1 alama)Question 26
- Mbuni ana vidole vingapi kwa kila mguu? (1 alama)Question 27
- Mbuni hutaga mayai yake wapi? (1 alama)Question 28