CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025: Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha)
Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha) · Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha) · 45 questions
Topics: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusoma.
All 45 questions with answers
- Question 1: i) Nifungue nikufunikeAnswer: Mwavuli
- Question 2: ii). Kuku wangu katagia mibaniAnswer: Nanasi
- Question 3: iii). Popo mbili zavuka mtoAnswer: Macho
- Question 4: (i) Mtoto umleavyo ___Answer: ndivyo akuavyo
- Question 5: (ii) Asiyesikia la mkuu ___Answer: huvunjika guu
- Question 6: (iii) Mtoto wa nyoka ni ___Answer: nyoka
- Question 7: Nani alitoa wito kwa wauzaji wa vyakula wazingatie usafi?Answer: Chifu Bwana Jaliwatu
- Question 8: Wauzaji wa vyakula walitoka kata gani?Answer: Kajiweni
- Question 9: Kulingana na chifu, njia pekee ya kuzuia hatari za kipindupindu ni ipi?Answer: Kuzingatia usafi
- Question 10: Katika aya ya pili, ugonjwa wa kipindupindu uliripotiwa katika kata ipi?Answer: Hatujali
- Question 11: Taja dalili tatu za ugonjwa wa kipindupinduAnswer: Kuendesha, kutapika na kuumwa na tumbo.
- Question 12: Bwana Jaliwatu aliwahimiza watu wafanye nini katika maboma yao?Answer: Wachimbe vyoo
- Question 13: Kulingana na aya ya mwisho, watu watakaokosa kuchimba vyoo watachukuliwa hatua gani?Answer: Hatua kali za kisheria
- Question 14: Taja ugonjwa hatari unaoujuaAnswer: Kipindupindu
- Question 15: Mada bora ya kifungu hiki ni ___Answer: Ugonjwa wa Kipindupindu
- Question 16: i). Daktari alinitibu vizuriAnswer: Daktari
- Question 17: ii) Khadija analimaAnswer: Khadija
- Question 18: iii) Alitumwa dukani pekee yakeAnswer: dukani
- Question 19: iv). Jumatatu ni siku nzuriAnswer: Jumatatu
- Question 20: v). Kenya ni nchi yanguAnswer: Kenya
- Question 21: RukaAnswer: B. Kitenzi
- Question 22: PikaAnswer: B. Kitenzi
- Question 23: AndikaAnswer: B. Kitenzi
- Question 24: SafiAnswer: A. Kivumishi
- Question 25: MfupiAnswer: A. Kivumishi
- Question 26: KibayaAnswer: A. Kivumishi
- Question 27: i) mimiAnswer: Mimi ninasoma kitabu.
- Question 28: ii) weweAnswer: Wewe ni rafiki yangu.
- Question 29: iii) yeyeAnswer: Yeye anacheza mpira.
- Question 30: i) Alienda lakini hakumpataAnswer: lakini
- Question 31: ii) Rosa na Maria walikuja kwetuAnswer: na
- Question 32: iii) Niliugua kwa sababu nilikunywa maji machafuAnswer: kwa sababu
- Question 33: i). kikombe kiko ___ mezaAnswer: B. juu ya
- Question 34: ii) ndege ametua ___ mtiAnswer: B. juu ya
- Question 35: iii) paka amejificha ___ kitandaAnswer: A. mvunguni mwa
- Question 36: i) Mtoto mdogo analiaAnswer: Watoto wadogo wanalia.
- Question 37: ii) Mbuzi anakula majaniAnswer: Mbuzi wanakula majani.
- Question 38: iii) Mwalimu alifundisha vizuriAnswer: Walimu walifundisha vizuri.
- Question 39: iv) Mkeka mfupiAnswer: Mikeka mifupi.
- Question 40: v) Mkono umevunjikaAnswer: Mikono imevunjika.
- Question 41: vi) Kikombe kimeangukaAnswer: Vikombe vimeanguka.
- Question 42: vii) Maji yamemwagikaAnswer: Maji yamemwagika.
- Question 43: i) SomaAnswer: Mimi husoma kitabu kila jioni.
- Question 44: ii) PikaAnswer: Mama anapika chakula kitamu.
- Question 45: iii) KulaAnswer: Tunakula chakula cha mchana shuleni.