CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 1
i) Nifungue nikufunike
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitendawili
c). Tegua vitendawili vifuatavyo
i) Nifungue nikufunike
Answer
Mwavuli
Mwavuli hufunguliwa ili kutufunika tusinyeshewe.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.