CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 42
vii) Maji yamemwagika
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
f). Andika sentensi hizi katika wingi.
vii) Maji yamemwagika
Answer
Maji yamemwagika.
Maji hayana wingi tofauti: "Maji yamemwagika" hubaki vilevile.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.