CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 35
iii) paka amejificha ___ kitanda
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vihusishi
e). Jaza nafasi kwa kihusishi mwafaka
(mvunguni mwa, juu ya, chini ya)
iii) paka amejificha ______ kitanda
- Amvunguni mwa
- Bjuu ya
- Cchini ya
Answer
A. mvunguni mwa
Sehemu ya chini ya kitanda huitwa mvunguni: "mvunguni mwa kitanda".