naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 13

Kulingana na aya ya mwisho, watu watakaokosa kuchimba vyoo watachukuliwa hatua gani?

From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.

Chifu wa kata ya Kajiweni, Bwana Jaliwatu, ametoa mwito kwa wauzaji wa vyakula wazingatie usafi. Alisema kuwa, hiyo ndiyo njia pekee ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa hatari wa kipindupindu.

Bwana Jaliwatu aliyasema hayo kufuatia kuripotiwa visa vya ugonjwa huo katika kata jirani ya Hatujali. Aliwashauri wakaazi watafute huduma za matibabu upesi, endapo watakuwa na dalili za kuendesha, kutapika na kuumwa na tumbo.

Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi wachimbe vyoo katika maboma yao. “Wale ambao watakosa kufanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria,” Chifu alisema.

7. Kulingana na aya ya mwisho, watu watakaokosa kuchimba vyoo watachukuliwa hatua gani?

Answer

Hatua kali za kisheria

Chifu alisema, "Wale ambao watakosa kufanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria."

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test