CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 26
Kibaya
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Weka kila neno katika sehemu sahihi: je, ni kivumishi au kitenzi?
Kibaya
- AKivumishi
- BKitenzi
Answer
A. Kivumishi
"Kibaya" kinaeleza jinsi kitu kilivyo, kwa hivyo ni kivumishi.