CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 9
Kulingana na chifu, njia pekee ya kuzuia hatari za kipindupindu ni ipi?
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Chifu wa kata ya Kajiweni, Bwana Jaliwatu, ametoa mwito kwa wauzaji wa vyakula wazingatie usafi. Alisema kuwa, hiyo ndiyo njia pekee ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa hatari wa kipindupindu.
Bwana Jaliwatu aliyasema hayo kufuatia kuripotiwa visa vya ugonjwa huo katika kata jirani ya Hatujali. Aliwashauri wakaazi watafute huduma za matibabu upesi, endapo watakuwa na dalili za kuendesha, kutapika na kuumwa na tumbo.
Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi wachimbe vyoo katika maboma yao. “Wale ambao watakosa kufanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria,” Chifu alisema.
3. Kulingana na chifu, njia pekee ya kuzuia hatari za kipindupindu ni ipi?
Answer
Kuzingatia usafi
Chifu alisema usafi ndiyo njia pekee ya kuzuia kuenea kwa kipindupindu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Katika aya ya pili, ugonjwa wa kipindupindu uliripotiwa katika kata ipi?Question 10
- Taja dalili tatu za ugonjwa wa kipindupinduQuestion 11
- Bwana Jaliwatu aliwahimiza watu wafanye nini katika maboma yao?Question 12
- Kulingana na aya ya mwisho, watu watakaokosa kuchimba vyoo watachukuliwa hatua gani?Question 13
- Taja ugonjwa hatari unaoujuaQuestion 14
- Mada bora ya kifungu hiki ni ___Question 15