CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025: Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma)
Kiswahili — Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma) · Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma) · 31 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusoma.
All 31 questions with answers
- Question 1: Tamka maneno yafuatayo: kiwi, kwetu, karibu, kwingi. Andika maneno mawili yenye sauti /kw/.Answer: kwetu, kwingi
- Question 2: Chagua maneno ambayo ni vitanzandimi, kisha uyaandike. dada na kaka mama na baba baba na papa kuku na gugu chai na mandazi pata na bata…Answer: baba na papa, kuku na gugu, pata na bata
- Question 3: Huku ng'o na kule ng'o.Answer: Giza
- Question 4: Jicho la Mungu linachoma.Answer: Jua
- Question 5: Sijui aendako wala atokako.Answer: Upepo
- Question 6: Kukojoa kando ya barabara ni hatia. (kukojoa)Answer: Kwenda haja ndogo kando ya barabara ni hatia.
- Question 7: Nikifika nyumbani nitaenda kunya chooni. (kunya)Answer: Nikifika nyumbani nitaenda haja kubwa chooni.
- Question 8: Ndugu yake alikuwa anahara sana. (anahara)Answer: Ndugu yake alikuwa anaendesha sana.
- Question 9: Wanyama walikuwa wanakula ___ na ___.Answer: Nyasi na majani
- Question 10: Je, wanyama waliishi wapi?Answer: Msituni
- Question 11: Ndovu pia huitwa ___.Answer: Tembo
- Question 12: Taja idadi ya miti iliyopandwa mwezi wa nne wa mwaka.Answer: Ishirini na mmoja (21)
- Question 13: Mwaka huo walipanda miti tisini na tisa. Andika kwa idadi.Answer: 99
- Question 14: Taja faida moja ya kupanda miti kulingana na kifungu ulichosoma.Answer: Miti huleta mvua, nayo mvua huleta majani na nyasi.
- Question 15: Ni miezi gani ambayo wanyama hawakupanda miti?Answer: Agosti na Septemba
- Question 16: Ukosefu wa mvua huleta ___.Answer: C. ukame
- Question 17: Wanafunzi wanapanda miti.Answer: Wanafunzi
- Question 18: Daktari alimtibu mgonjwa.Answer: Daktari
- Question 19: Rais alihimiza tuwe na upendo.Answer: Rais
- Question 20: James ni mwalimu bora wa Kiswahili.Answer: James
- Question 21: Kiatu changu ni kizuri.Answer: Kiatu
- Question 22: Halima amevaa nguo nyeupe.Answer: nyeupe
- Question 23: Chumba cha mama ni safi.Answer: safi
- Question 24: Vipepeo wale ni maridadi.Answer: maridadi
- Question 25: Wanafunzi wameokota ___ (jiwe) uwanjani.Answer: mawe
- Question 26: Hadithi za ___ (jitu) zinatisha.Answer: majitu
- Question 27: Sebule imepambwa kwa ___ (ua) ya kupendeza.Answer: maua
- Question 28: Walimu walifundisha vizuri.Answer: Mwalimu alifundisha vizuri.
- Question 29: Vipepeo wameruka kuelekea mashariki.Answer: Kipepeo ameruka kuelekea mashariki.
- Question 30: Mkebe ___tachomwa.Answer: Mkebe utachomwa.
- Question 31: Mipera ___napaliliwa.Answer: Mipera inapaliliwa.