CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 30
Mkebe ___tachomwa.
From Kiswahili — Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
Jaza nafasi kwa kutumia "u" au "i".
Mkebe ____tachomwa.
Answer
Mkebe utachomwa.
Mkebe ni wa ngeli ya U-I (mkebe/mikebe). Katika umoja tunatumia u-: Mkebe utachomwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mipera ___napaliliwa.Question 31
- Tamka maneno yafuatayo: kiwi, kwetu, karibu, kwingi. Andika maneno mawili yenye sauti /kw/.Question 1
- Chagua maneno ambayo ni vitanzandimi, kisha uyaandike. dada na kaka mama na baba baba na papa kuku na gugu chai na…Question 2
- Huku ng'o na kule ng'o.Question 3
- Jicho la Mungu linachoma.Question 4
- Sijui aendako wala atokako.Question 5