CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 8
Ndugu yake alikuwa anahara sana. (anahara)
From Kiswahili — Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Soma sentensi hii. Iandike upya ukitumia maneno ya heshima badala ya neno lililo kwenye mabano.
Ndugu yake alikuwa anahara sana. (anahara)
Answer
Ndugu yake alikuwa anaendesha sana.
Kwa heshima tunasema mtu anaendesha badala ya kusema anahara.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Wanyama walikuwa wanakula ___ na ___.Question 9
- Je, wanyama waliishi wapi?Question 10
- Ndovu pia huitwa ___.Question 11
- Taja idadi ya miti iliyopandwa mwezi wa nne wa mwaka.Question 12
- Mwaka huo walipanda miti tisini na tisa. Andika kwa idadi.Question 13
- Taja faida moja ya kupanda miti kulingana na kifungu ulichosoma.Question 14