CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 25
Wanafunzi wameokota ___ (jiwe) uwanjani.
From Kiswahili — Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Jaza nafasi kwa kutumia wingi wa nomino iliyo kwenye mabano.
Wanafunzi wameokota ______________ (jiwe) uwanjani.
Answer
mawe
Jiwe ni umoja; wingi wake ni mawe (ngeli ya LI-YA).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.