CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 28
Walimu walifundisha vizuri.
From Kiswahili — Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Geuza sentensi hii iwe katika umoja.
Walimu walifundisha vizuri.
Answer
Mwalimu alifundisha vizuri.
Walimu → mwalimu, na wali- (wao) → ali- (yeye): Mwalimu alifundisha vizuri.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Vipepeo wameruka kuelekea mashariki.Question 29
- Mkebe ___tachomwa.Question 30
- Mipera ___napaliliwa.Question 31
- Tamka maneno yafuatayo: kiwi, kwetu, karibu, kwingi. Andika maneno mawili yenye sauti /kw/.Question 1
- Chagua maneno ambayo ni vitanzandimi, kisha uyaandike. dada na kaka mama na baba baba na papa kuku na gugu chai na…Question 2
- Huku ng'o na kule ng'o.Question 3