CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 21
Kiatu changu ni kizuri.
From Kiswahili — Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Andika nomino moja iliyo katika sentensi hii.
Kiatu changu ni kizuri.
Answer
Kiatu
Nomino ni jina la mtu, mahali, kitu au hali. Katika sentensi hii, kiatu ni nomino.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.