CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 6
Kukojoa kando ya barabara ni hatia. (kukojoa)
From Kiswahili — Muhula 1 2025 Set 4 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Soma sentensi hii. Iandike upya ukitumia maneno ya heshima badala ya neno lililo kwenye mabano.
Kukojoa kando ya barabara ni hatia. (kukojoa)
Answer
Kwenda haja ndogo kando ya barabara ni hatia.
Kwa adabu hatusemi kukojoa; tunasema kwenda haja ndogo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.