CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025
Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 31 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: ZOEZI 1: KUSIKILIZA NA KUONGEA a) Nchi yetu inaitwa aje?Answer: Kenya.
- Question 2: b) Watalii wanaisifia nchi yetu kwa mambo gani?Answer: Wanyama pori, milima na shanga.
- Question 3: c) Watu ambao huzuru nchi yetu huitwa aje?Answer: Watalii.
- Question 4: d) Densi ya asili ya Waluhya inaitwa?Answer: Isukuti.
- Question 5: e) Mto ulio na ndege ambao watalii huja kutazama unaitwa?Answer: Mto Baringo.
- Question 6: ZOEZI 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Answer: Gege ni mkulima hodari. Ratiba yake ya kila siku huwa na kazi ya shambani sana. Kwa kawaida Gege huamka…
- Question 7: ZOEZI 3: UFAHAMU a) Je, jina lingine la wavyele ni?Answer: wazazi
- Question 8: b) Wazazi wengine huenda shuleni kufanya nini kila mara?Answer: kusuluhisha kesi za watoto wao
- Question 9: c) Mwandishi anawasihi wazazi wafanye nini?Answer: wajifunze kuwapa watoto malezi mema
- Question 10: d) Taja jina lenye maana sawa na 'nidhamu'.Answer: adabu
- Question 11: e) Taja methali moja iliyotumika katika ufahamu huu.Answer: mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
- Question 12: ZOEZI 4: SARUFI 1. Tumia maneno haya kujaza pengo. (kutupa, kuandika, kumega, kitamu, sehemu, kufanya, kuendesha) Pengo (a)Answer: E. sehemu
- Question 13: Pengo (b)Answer: F. kufanya
- Question 14: Pengo (c)Answer: G. kuendesha
- Question 15: Pengo (d)Answer: C. kumega
- Question 16: Pengo (e)Answer: D. kitamu
- Question 17: Pengo (f)Answer: B. kuandika
- Question 18: Pengo (g)Answer: A. kutupa
- Question 19: Tumia 'yeye' au 'wao' kujaza pengo a) ___ atapulizia mimea dawa kesho.Answer: A. Yeye
- Question 20: b) ___ watapanda mbegu kesho.Answer: B. Wao
- Question 21: c) ___ atavuna mahindi.Answer: A. Yeye
- Question 22: Andika rangi nne za bendera ya nchi ya Kenya.Answer: nyeusi, nyekundu, kijani, nyeupe
- Question 23: Weka kikomo katika sentensi hizi. a) Nilichuma boga moja dogoAnswer: Nilichuma boga moja dogo.
- Question 24: b) Mama aliniambia mimi ni mtoto mzuriAnswer: Mama aliniambia mimi ni mtoto mzuri.
- Question 25: a) Mtu anayeendesha ndege anaitwa ___.Answer: rubani
- Question 26: b) Mtu anayelinda lango kuu huitwa ___.Answer: bawabu
- Question 27: Andika tarakimu hizi kwa maneno. a) 777Answer: mia saba sabini na saba
- Question 28: b) 898Answer: mia nane tisini na nane
- Question 29: Kanusha sentensi zifuatazo. a) Mama ataenda sokoni.Answer: Mama hataenda sokoni.
- Question 30: b) Mwalimu atazawadi wanafunzi bora.Answer: Mwalimu hatazawadi wanafunzi bora.
- Question 31: ZOEZI 5: KUANDIKA Andika insha fupi kuhusu USAFI WA MWILI.Answer: Usafi wa mwili ni muhimu sana. Mimi huoga kila siku kwa maji na sabuni. Ninapiga mswaki asubuhi na usiku.…