naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 23

Weka kikomo katika sentensi hizi. a) Nilichuma boga moja dogo

From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kuandika, Uakifishaji

4. Weka kikomo katika sentensi hizi.
a) Nilichuma boga moja dogo

Answer

Nilichuma boga moja dogo.

Sentensi huishia na kikomo (kitone).

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test