CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 6
ZOEZI 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Gege ni mkulima hodari. Ratiba yake ya kila siku huwa na kazi ya shambani sana. Kwa kawaida Gege huamka asubuhi na mapema na kula kiamsha kinywa. Kisha anachukua jembe lake kuelekea shambani kulima. Gege huhisi vizuri anapolima. Ndege huwa wanamtumbuiza kwa nyimbo zao nzuri. Watu wa eneo la Bute hutamani sana mimea ya mkulima Gege.
ZOEZI 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Gege ni mkulima hodari. Ratiba yake ya kila siku huwa na kazi ya shambani sana. Kwa kawaida Gege huamka asubuhi na mapema na kula kiamsha kinywa. Kisha anachukua jembe lake kuelekea shambani kulima. Gege huhisi vizuri anapolima. Ndege huwa wanamtumbuiza kwa nyimbo zao nzuri. Watu wa eneo la Bute hutamani sana mimea ya mkulima Gege.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- ZOEZI 3: UFAHAMU a) Je, jina lingine la wavyele ni?Question 7
- b) Wazazi wengine huenda shuleni kufanya nini kila mara?Question 8
- c) Mwandishi anawasihi wazazi wafanye nini?Question 9
- d) Taja jina lenye maana sawa na 'nidhamu'.Question 10
- e) Taja methali moja iliyotumika katika ufahamu huu.Question 11
- ZOEZI 4: SARUFI 1. Tumia maneno haya kujaza pengo. (kutupa, kuandika, kumega, kitamu, sehemu, kufanya, kuendesha)…Question 12