CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 8
b) Wazazi wengine huenda shuleni kufanya nini kila mara?
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Watoto wana kila sababu ya kuwaheshimu wavyele wao na walimu wao. Kila mara utawakuta wazazi shuleni wakisuluhisha kesi za watoto wao. Wazazi pia wajifunze jinsi ya kuwapa watoto wao malezi mema. Utampata mzazi anamdekeza mtoto wake. Wengine hata humfokea mwalimu mwanawe akitazama. Wakati mwingine wanafokea mfanyikazi nyumbani kwa kumrekebisha mwana wao kwa kutokuwa na nidhamu. Je wazazi, watoto wetu watajifunza kuwa na nidhamu vipi? Mkumbuke ya kwamba mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
b) Wazazi wengine huenda shuleni kufanya nini kila mara?
Answer
kusuluhisha kesi za watoto wao
Wazazi huenda shuleni wakisuluhisha kesi za watoto wao.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- c) Mwandishi anawasihi wazazi wafanye nini?Question 9
- d) Taja jina lenye maana sawa na 'nidhamu'.Question 10
- e) Taja methali moja iliyotumika katika ufahamu huu.Question 11
- ZOEZI 4: SARUFI 1. Tumia maneno haya kujaza pengo. (kutupa, kuandika, kumega, kitamu, sehemu, kufanya, kuendesha)…Question 12
- Tumia 'yeye' au 'wao' kujaza pengo a) ___ atapulizia mimea dawa kesho.Question 19
- b) ___ watapanda mbegu kesho.Question 20