naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 10

d) Taja jina lenye maana sawa na 'nidhamu'.

From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Msamiati

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.

Watoto wana kila sababu ya kuwaheshimu wavyele wao na walimu wao. Kila mara utawakuta wazazi shuleni wakisuluhisha kesi za watoto wao. Wazazi pia wajifunze jinsi ya kuwapa watoto wao malezi mema. Utampata mzazi anamdekeza mtoto wake. Wengine hata humfokea mwalimu mwanawe akitazama. Wakati mwingine wanafokea mfanyikazi nyumbani kwa kumrekebisha mwana wao kwa kutokuwa na nidhamu. Je wazazi, watoto wetu watajifunza kuwa na nidhamu vipi? Mkumbuke ya kwamba mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

d) Taja jina lenye maana sawa na 'nidhamu'.

Answer

adabu

Nidhamu ni adabu (tabia njema).

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test