CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 11
e) Taja methali moja iliyotumika katika ufahamu huu.
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Methali
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Watoto wana kila sababu ya kuwaheshimu wavyele wao na walimu wao. Kila mara utawakuta wazazi shuleni wakisuluhisha kesi za watoto wao. Wazazi pia wajifunze jinsi ya kuwapa watoto wao malezi mema. Utampata mzazi anamdekeza mtoto wake. Wengine hata humfokea mwalimu mwanawe akitazama. Wakati mwingine wanafokea mfanyikazi nyumbani kwa kumrekebisha mwana wao kwa kutokuwa na nidhamu. Je wazazi, watoto wetu watajifunza kuwa na nidhamu vipi? Mkumbuke ya kwamba mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
e) Taja methali moja iliyotumika katika ufahamu huu.
Answer
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Methali ni "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- ZOEZI 4: SARUFI 1. Tumia maneno haya kujaza pengo. (kutupa, kuandika, kumega, kitamu, sehemu, kufanya, kuendesha)…Question 12
- Tumia 'yeye' au 'wao' kujaza pengo a) ___ atapulizia mimea dawa kesho.Question 19
- b) ___ watapanda mbegu kesho.Question 20
- c) ___ atavuna mahindi.Question 21
- Andika rangi nne za bendera ya nchi ya Kenya.Question 22
- Weka kikomo katika sentensi hizi. a) Nilichuma boga moja dogoQuestion 23