CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 14
Pengo (c)
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Mwanadamu ana (a) ____ zingine kuu zinazomwezesha (b) ____ mambo tofauti. Mikono hutumika (c) ____ gari. Bila mikono binadamu hawezi (d) ____ sima. Sima ni chakula (e) ____ sana. Mikono humwezesha mwanafunzi (f) ____ vizuri. Tuwajibike na kumtii Mungu kwa (g) ____ sehemu za mwili.
Pengo (c)
- Akutupa
- Bkuandika
- Ckumega
- Dkitamu
- Esehemu
- Fkufanya
- Gkuendesha
Answer
G. kuendesha
Pengo (c): kuendesha.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Tumia 'yeye' au 'wao' kujaza pengo a) ___ atapulizia mimea dawa kesho.Question 19
- b) ___ watapanda mbegu kesho.Question 20
- c) ___ atavuna mahindi.Question 21
- Andika rangi nne za bendera ya nchi ya Kenya.Question 22
- Weka kikomo katika sentensi hizi. a) Nilichuma boga moja dogoQuestion 23
- b) Mama aliniambia mimi ni mtoto mzuriQuestion 24