CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026
Kiswahili — Term 2 Opener 2026 (Set 6) · Term 2 Opener 2026 (Set 6) · 25 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika, Kusikiliza na Kuzungumza.
All 25 questions with answers
- Question 1: KAZI YA 1: UFAHAMU Sehemu A 1. Andika mimea miwili inayopatikana shambani mwa Mzee Kizito.Answer: migomba na michungwa
- Question 2: Ni wanyama gani wametajwa katika hadithi?Answer: nguruwe, kuku, ng'ombe, mbuzi na kondoo
- Question 3: Andika faida moja ya ng'ombe.Answer: Ng'ombe hutupa maziwa.
- Question 4: Sehemu B 1. Ni nani alipata ajali?Answer: mtoto wa Punda
- Question 5: Mguu wa aliyeumia ulijeruhiwa na kulipuka ___ (damu / maji)Answer: A. damu
- Question 6: Ni nani walimpeleka hospitalini?Answer: watoto wa Ngamia
- Question 7: Andika mambo mawili ambayo Daktari Farasi alimfanyia mgonjwa.Answer: alimfunga plasta na kumpa dawa za kupunguza uchungu
- Question 8: KAZI YA 2: SARUFI 1. Andika vitendo viwili vinavyoonyesha uzalendo: a) Kuchokoza wenzake b) Kupiga kura c) Kupanda miti d) Kuchafua…Answer: kupiga kura na kupanda miti
- Question 9: Chora vifaa hivi vya shambani: a) UpangaAnswer: Upanga wenye mpini.
- Question 10: b) JembeAnswer: Jembe lenye mpini mrefu.
- Question 11: Tambua konsonanti katika herufi hizi: a, l, ng, i, kAnswer: l, ng, k
- Question 12: Andika maneno ya heshima au ya adabu kutoka kwenye kapu:Answer: haja ndogo, haja kubwa, kuendesha
- Question 13: Andika sentensi hizi kwa wingi: a) Kitabu hiki kimeraruka.Answer: Vitabu hivi vimeraruka.
- Question 14: b) Mzee huyu amechoka.Answer: Wazee hawa wamechoka.
- Question 15: c) Mtoto amelala.Answer: Watoto wamelala.
- Question 16: Tumia "yule" au "wale" kukamilisha sentensi: a) Ng'ombe ___ watachinjwa.Answer: B. wale
- Question 17: b) Mgeni ___ amechoka.Answer: A. yule
- Question 18: c) Wanafunzi ___ wamesoma.Answer: B. wale
- Question 19: KAZI YA 3: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu: SHAMBA LETUAnswer: Shamba letu ni kubwa. Tunapanda mahindi na maharagwe. Tuna ng'ombe na mbuzi. Baba hulima shamba kila…
- Question 20: KAZI YA 4: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Kuna miezi mingapi katika mwaka mmoja?Answer: Kuna miezi kumi na miwili.
- Question 21: b) Je, tuko mwezi gani?Answer: Tuko mwezi wa (mwezi wa sasa).
- Question 22: c) Wakristo husherehekea Pasaka mwezi gani?Answer: Machi au Aprili.
- Question 23: d) Una miaka mingapi? Unaweza kutumia jibu la kubuni.Answer: Nina miaka minane.
- Question 24: e) Ulizaliwa mwezi gani? Unaweza kutumia jibu la kubuni.Answer: Nilizaliwa mwezi wa Mei.
- Question 25: KAZI YA 5: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti kwa mwalimu wako:Answer: Hapo zamani za kale, Fisi na Kunguru walikuwa marafiki wa karibu. Wakati huo Kunguru alikuwa na rangi nyeupe…