naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 7

Andika mambo mawili ambayo Daktari Farasi alimfanyia mgonjwa.

From Kiswahili — Term 2 Opener 2026 (Set 6) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu

Sehemu B
Soma hadithi kisha ujibu maswali:

Ngamia na Punda ni majirani wema. Watoto wao hucheza pamoja na pia husoma shule moja. Juma lililopita, mtoto wa Punda alianguka alipokuwa akikimbia na wenzake. Alilia kwa uchungu kwa sababu mguu wake ulijeruhiwa na kulipuka damu. Alibebwa na watoto wa Ngamia na kupelekwa hospitalini. Huko, Daktari Farasi alimfunga plasta na kumpa dawa za kupunguza uchungu.

4. Andika mambo mawili ambayo Daktari Farasi alimfanyia mgonjwa.

Answer

alimfunga plasta na kumpa dawa za kupunguza uchungu

Daktari Farasi alimfunga plasta na kumpa dawa za kupunguza uchungu.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test