CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 11
Tambua konsonanti katika herufi hizi: a, l, ng, i, k
From Kiswahili — Term 2 Opener 2026 (Set 6) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Konsonanti
3. Tambua konsonanti katika herufi hizi: a, l, ng, i, k
Answer
l, ng, k
a na i ni irabu; l, ng na k ni konsonanti.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Andika maneno ya heshima au ya adabu kutoka kwenye kapu:Question 12
- Andika sentensi hizi kwa wingi: a) Kitabu hiki kimeraruka.Question 13
- b) Mzee huyu amechoka.Question 14
- c) Mtoto amelala.Question 15
- Tumia "yule" au "wale" kukamilisha sentensi: a) Ng'ombe ___ watachinjwa.Question 16
- b) Mgeni ___ amechoka.Question 17