CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 5
Mguu wa aliyeumia ulijeruhiwa na kulipuka ___ (damu / maji)
From Kiswahili — Term 2 Opener 2026 (Set 6) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Sehemu B
Soma hadithi kisha ujibu maswali:
Ngamia na Punda ni majirani wema. Watoto wao hucheza pamoja na pia husoma shule moja. Juma lililopita, mtoto wa Punda alianguka alipokuwa akikimbia na wenzake. Alilia kwa uchungu kwa sababu mguu wake ulijeruhiwa na kulipuka damu. Alibebwa na watoto wa Ngamia na kupelekwa hospitalini. Huko, Daktari Farasi alimfunga plasta na kumpa dawa za kupunguza uchungu.
2. Mguu wa aliyeumia ulijeruhiwa na kulipuka ____________________ (damu / maji)
- Adamu
- Bmaji
Answer
A. damu
Mguu wake ulijeruhiwa na kulipuka damu.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Ni nani walimpeleka hospitalini?Question 6
- Andika mambo mawili ambayo Daktari Farasi alimfanyia mgonjwa.Question 7
- KAZI YA 2: SARUFI 1. Andika vitendo viwili vinavyoonyesha uzalendo: a) Kuchokoza wenzake b) Kupiga kura c) Kupanda…Question 8
- Chora vifaa hivi vya shambani: a) UpangaQuestion 9
- Tambua konsonanti katika herufi hizi: a, l, ng, i, kQuestion 11
- Andika maneno ya heshima au ya adabu kutoka kwenye kapu:Question 12