CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 2
Ni wanyama gani wametajwa katika hadithi?
From Kiswahili — Term 2 Opener 2026 (Set 6) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
Sehemu A
Soma hadithi kisha ujibu maswali:
Shamba la Mzee Kizito ni kubwa sana. Huko utapata mimea aina mbalimbali. Kuna migomba, miparachichi, michungwa, mihindi na miharagwe. Pia kuna wanyama wenye afya nzuri kama nguruwe, kuku, ng'ombe, mbuzi na kondoo. Kati ya wanyama hao, ninapenda ng'ombe kwa faida zake. Yeye hutupa maziwa yanayotumika kupika chai, kuoka keki na kutayarisha sharubati.
2. Ni wanyama gani wametajwa katika hadithi?
Answer
nguruwe, kuku, ng'ombe, mbuzi na kondoo
Hadithi inataja nguruwe, kuku, ng'ombe, mbuzi na kondoo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Andika faida moja ya ng'ombe.Question 3
- Sehemu B 1. Ni nani alipata ajali?Question 4
- Mguu wa aliyeumia ulijeruhiwa na kulipuka ___ (damu / maji)Question 5
- Ni nani walimpeleka hospitalini?Question 6
- Andika mambo mawili ambayo Daktari Farasi alimfanyia mgonjwa.Question 7
- KAZI YA 2: SARUFI 1. Andika vitendo viwili vinavyoonyesha uzalendo: a) Kuchokoza wenzake b) Kupiga kura c) Kupanda…Question 8