naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 1

KAZI YA 1: UFAHAMU Sehemu A 1. Andika mimea miwili inayopatikana shambani mwa Mzee Kizito.

From Kiswahili — Term 2 Opener 2026 (Set 6) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu

Sehemu A
Soma hadithi kisha ujibu maswali:

Shamba la Mzee Kizito ni kubwa sana. Huko utapata mimea aina mbalimbali. Kuna migomba, miparachichi, michungwa, mihindi na miharagwe. Pia kuna wanyama wenye afya nzuri kama nguruwe, kuku, ng'ombe, mbuzi na kondoo. Kati ya wanyama hao, ninapenda ng'ombe kwa faida zake. Yeye hutupa maziwa yanayotumika kupika chai, kuoka keki na kutayarisha sharubati.

KAZI YA 1: UFAHAMU
Sehemu A
1. Andika mimea miwili inayopatikana shambani mwa Mzee Kizito.

Answer

migomba na michungwa

Shambani kuna migomba, miparachichi, michungwa, mihindi na miharagwe.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test