CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 25
KAZI YA 5: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti kwa mwalimu wako:
From Kiswahili — Term 2 Opener 2026 (Set 6) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
KAZI YA 5: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti kwa mwalimu wako:
Answer
Hapo zamani za kale, Fisi na Kunguru walikuwa marafiki wa karibu. Wakati huo Kunguru alikuwa na rangi nyeupe na Fisi alikuwa na rangi ya hudhurungi bila madoadoa. Walikuwa wakienda kila mahali pamoja: dukani, shambani na hata kanisani. Fisi alipenda kuangalia juu mawinguni na kusema, "Huko juu kuna nyama nyingi nyeupe. Ningependa kula!" Fisi alimwambia Kunguru, "Rafiki yangu, tafadhali nipeleke hapo juu ili nikale zile nyama."
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- KAZI YA 1: UFAHAMU Sehemu A 1. Andika mimea miwili inayopatikana shambani mwa Mzee Kizito.Question 1
- Ni wanyama gani wametajwa katika hadithi?Question 2
- Andika faida moja ya ng'ombe.Question 3
- Sehemu B 1. Ni nani alipata ajali?Question 4
- Mguu wa aliyeumia ulijeruhiwa na kulipuka ___ (damu / maji)Question 5
- Ni nani walimpeleka hospitalini?Question 6