CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025: Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2)
Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2) · Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2) · 29 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 29 questions with answers
- Question 1: ZOEZI 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Picha hii ni ya bendera ya nchi ya ___.Answer: Kenya.
- Question 2: Taja rangi mbili za bendera ya Kenya ___ na ___.Answer: Nyeusi na nyekundu.
- Question 3: Bendera imepandishwa kwenye ___. (mlingoti, kijiti)Answer: Mlingoti.
- Question 4: Ni kwa nini tunasimama imara bendera inapopandishwa?Answer: Kuonyesha heshima kwa bendera na nchi yetu.
- Question 5: ZOEZI LA 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma habari hii kwa sauti.Answer: Maina na Zuhura ni wanafunzi wa gredi ya tatu. Wao ni wacheshi saana. Juzi, walimuiga mwanahabari wa spoti…
- Question 6: Ni wanyama gani walio katika shamba la Bi. Karimu?Answer: ngamia, ng'ombe, mbuzi na kondoo
- Question 7: Je, wafanyikazi watatumia nini kufyeka magugu?Answer: kifyekeo
- Question 8: Taja majina ya watoto wa Bi. Karimu. ___ na ___.Answer: Amina na Halima
- Question 9: Mahindi yatawekwa kwenye ___ baada ya kuvuna.Answer: ghala
- Question 10: ZOEZI LA 4: SARUFI Tumia yeye na wao ipasavyo kujaza nafasi katika sentensi. ___ ni mchezaji hodari wa kabumbu.Answer: A. yeye
- Question 11: Sisi na ___ tutaimba pamoja.Answer: wao
- Question 12: ___ anachukia waporaji mali.Answer: A. yeye
- Question 13: ___ walipanda mboga.Answer: B. wao
- Question 14: ___ amevitunza vitabu vyake.Answer: A. yeye
- Question 15: Andika sentensi hizi katika umoja au wingi. Yeye ni mzembe. ___Answer: Wao ni wazembe.
- Question 16: Wao wataimba wimbo wa taifa. ___Answer: Yeye ataimba wimbo wa taifa.
- Question 17: Yeye ni msichana mtiifu. ___Answer: Wao ni wasichana watiifu.
- Question 18: Wao ni wasaliti. ___Answer: Yeye ni msaliti.
- Question 19: Yeye ni mwanaskauti. ___Answer: Wao ni wanaskauti.
- Question 20: Unda maneno matano kutokana na silabi kwenye jedwali hii. Kwe, Ru, U, A, Li, Fye, Pla, pa, Tu, Nga, Mbo, Ba, za, Le, KaAnswer: mbolea, rutuba, panga, fyeka, plau
- Question 21: Ambatanisha ili kuunda sentensi 1. SisiAnswer: B. Tutafyeka magugu.
- Question 22: WaoAnswer: A. Walipalilia shamba lao.
- Question 23: YeyeAnswer: D. Atawalisha mifugo
- Question 24: NyinyiAnswer: C. Mtasafisha zizi la ng’ombe.
- Question 25: ZOEZI LA 5: KUANDIKA Andika sentensi tano ukitumia maneno haya. a) TrektaAnswer: Baba alilima shamba kwa trekta.
- Question 26: b) JembeAnswer: Mama analima kwa jembe.
- Question 27: c) RekiAnswer: Tulikusanya majani kwa reki.
- Question 28: d) MaguguAnswer: Tuling'oa magugu shambani.
- Question 29: e) KifyekeoAnswer: Mkulima alifyeka nyasi kwa kifyekeo.