CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 6
Ni wanyama gani walio katika shamba la Bi. Karimu?
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
ZOEZI LA 3: UFAHAMU
Bi. Karimu anaishi katika kijiji cha Bagamoyo. Yeye ni mkulima hodari. Shambani mwake kuna ngamia, ngombe, mbuzi, na kondoo. Msimu huu, wafanyikazi watatumia kifyekeo kufyeka magugu shambani, kisha watumia trekta kwa kulima shamba. Kisha watapanda mahindi na maharagwe.
Wakati wa kipindi cha kupalilia, wafanyikazi watawasaidia kupalilia, kwani watoto wao Amina na Halima wako katika chuo kikuu cha Nairobi. Hali ya hewa ikiwa nzuri, watavuna mazao mazuri na kuyaweka kwenye ghala
1. Ni wanyama gani walio katika shamba la Bi. Karimu?
Answer
ngamia, ng'ombe, mbuzi na kondoo
Shambani mwake kuna ngamia, ng'ombe, mbuzi na kondoo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Je, wafanyikazi watatumia nini kufyeka magugu?Question 7
- Taja majina ya watoto wa Bi. Karimu. ___ na ___.Question 8
- Mahindi yatawekwa kwenye ___ baada ya kuvuna.Question 9
- ZOEZI LA 4: SARUFI Tumia yeye na wao ipasavyo kujaza nafasi katika sentensi. ___ ni mchezaji hodari wa kabumbu.Question 10
- Sisi na ___ tutaimba pamoja.Question 11
- ___ anachukia waporaji mali.Question 12