CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 10
ZOEZI LA 4: SARUFI Tumia yeye na wao ipasavyo kujaza nafasi katika sentensi. ___ ni mchezaji hodari wa kabumbu.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
ZOEZI LA 4: SARUFI
Tumia yeye na wao ipasavyo kujaza nafasi katika sentensi.
___________ ni mchezaji hodari wa kabumbu.
- Ayeye
- Bwao
Answer
A. yeye
Yeye ni mchezaji hodari wa kabumbu.