naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 9

Mahindi yatawekwa kwenye ___ baada ya kuvuna.

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

ZOEZI LA 3: UFAHAMU

Bi. Karimu anaishi katika kijiji cha Bagamoyo. Yeye ni mkulima hodari. Shambani mwake kuna ngamia, ngombe, mbuzi, na kondoo. Msimu huu, wafanyikazi watatumia kifyekeo kufyeka magugu shambani, kisha watumia trekta kwa kulima shamba. Kisha watapanda mahindi na maharagwe.
Wakati wa kipindi cha kupalilia, wafanyikazi watawasaidia kupalilia, kwani watoto wao Amina na Halima wako katika chuo kikuu cha Nairobi. Hali ya hewa ikiwa nzuri, watavuna mazao mazuri na kuyaweka kwenye ghala

4. Mahindi yatawekwa kwenye ____________ baada ya kuvuna.

Answer

ghala

Watayaweka mazao kwenye ghala.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test