naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 5

ZOEZI LA 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma habari hii kwa sauti.

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Maina na Zuhura ni wanafunzi wa gredi ya tatu. Wao ni wacheshi saana. Juzi, walimuiga mwanahabari wa spoti wa redio ya taifa K.B.C Georges Waka. Habari hii ilipomfikia Mwanaspoti huyo aliwatuza kwa kuwapa mpira, kisha akawaalika kumtembele kwenye kituo cha redio alipokuwa akitangaza mechi ya kabumbu dunia. Ama kweli wahenga hawakukosea waliponena bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi.

ZOEZI LA 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma habari hii kwa sauti.

Answer

Maina na Zuhura ni wanafunzi wa gredi ya tatu. Wao ni wacheshi saana. Juzi, walimuiga mwanahabari wa spoti wa redio ya taifa K.B.C Georges Waka. Habari hii ilipomfikia Mwanaspoti huyo aliwatuza kwa kuwapa mpira, kisha akawaalika kumtembele kwenye kituo cha redio alipokuwa akitangaza mechi ya kabumbu dunia. Ama kweli wahenga hawakukosea waliponena bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test