naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 4

Ni kwa nini tunasimama imara bendera inapopandishwa?

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza

Tazama picha. Mwalimu atakuuliza swali; bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.

Bendera ya Kenya ikipepea kwenye mlingoti

4. Ni kwa nini tunasimama imara bendera inapopandishwa?

🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.

Answer

Kuonyesha heshima kwa bendera na nchi yetu.

Tunasimama imara kuonyesha heshima kwa bendera na nchi yetu.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test