CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 20
Unda maneno matano kutokana na silabi kwenye jedwali hii. Kwe, Ru, U, A, Li, Fye, Pla, pa, Tu, Nga, Mbo, Ba, za, Le, Ka
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 2) · 5 marks · Topic: Kuandika, Silabi
Unda maneno matano kutokana na silabi kwenye jedwali hii.
Kwe, Ru, U, A, Li, Fye, Pla, pa, Tu, Nga, Mbo, Ba, za, Le, Ka
Answer
mbolea, rutuba, panga, fyeka, plau
Maneno yanayoweza kuundwa ni kama mbolea (mbo-le-a), rutuba (ru-tu-ba), panga (pa-nga), fyeka (fye-ka), plau (pla-u), palilia (pa-li-li-a), lipa (li-pa), zaa (za-a).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Ambatanisha ili kuunda sentensi 1. SisiQuestion 21
- ZOEZI LA 5: KUANDIKA Andika sentensi tano ukitumia maneno haya. a) TrektaQuestion 25
- ZOEZI 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Picha hii ni ya bendera ya nchi ya ___.Question 1
- Taja rangi mbili za bendera ya Kenya ___ na ___.Question 2
- Bendera imepandishwa kwenye ___. (mlingoti, kijiti)Question 3
- Ni kwa nini tunasimama imara bendera inapopandishwa?Question 4