CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025: Year 2025 Assessment (Set 10B)
Kiswahili — Year 2025 Assessment (Set 10B) · Year 2025 Assessment (Set 10B) · 31 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Taja vifaa vinavyotumika shambani.Answer: Jembe na panga.
- Question 2: Utatumia kifaa kipi kufyeka?Answer: Panga.
- Question 3: Mimea isiyohitajika shambani huitwaje?Answer: Magugu.
- Question 4: Mtu anayefanya shughuli za ukulima huitwa?Answer: Mkulima.
- Question 5: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Shule yetu ina bustani ndogo. Katika bustani hii kuna miti mingi. Sisi hupenda kufanya kazi katika bustani…
- Question 6: SEHEMU C: UFAHAMU 1. Taja jina la ndege nimpendaye.Answer: kuku
- Question 7: Taja faida za ndege huyu.Answer: hutupa mayai na nyama
- Question 8: Kuku anatunzwa vipi?Answer: kwa kumpa nafaka na maji safi
- Question 9: Ndege yupi mwingine hufugwa nyumbani?Answer: bata
- Question 10: Taja nafaka unazozijua.Answer: mahindi, mtama
- Question 11: SEHEMU D: SARUFI 1. Tumia '-ake' au '-ao' kujaza pengo. a) Kitabu ___Answer: chake
- Question 12: b) Watoto ___Answer: wake
- Question 13: Andika tarakimu zifuatazo kwa maneno. a) 62-Answer: sitini na mbili
- Question 14: b) 74-Answer: sabini na nne
- Question 15: c) 56-Answer: hamsini na sita
- Question 16: d) 99-Answer: tisini na tisa
- Question 17: Tunga sentensi ukitumia maneno yafuatayo. a) NunuaAnswer: Mama alienda kununua mboga sokoni.
- Question 18: b) FaidaAnswer: Mkulima alipata faida kubwa.
- Question 19: c) PesaAnswer: Baba alinipa pesa za kununua kalamu.
- Question 20: Tumia polepole na haraka kujaza pengo. a) Mzee kobe hutembea ___Answer: A. polepole
- Question 21: b) Nilikimbia ___ nikafika mapema.Answer: B. haraka
- Question 22: Andika vinyume vya vitendo vifuatavyo. a) LalaAnswer: amka
- Question 23: b) KetiAnswer: simama
- Question 24: c) ChekaAnswer: lia
- Question 25: Tumia 'juu ya' au 'chini ya' a) Paka yuko ___ meza.Answer: chini ya
- Question 26: b) Wameketi ___ mti.Answer: chini ya
- Question 27: Tumia 'ndani ya' au 'nje ya' a) Kikombe kimo ___ kabati.Answer: ndani ya
- Question 28: b) Nyoka ametoka ___ shimo.Answer: ndani ya
- Question 29: Jaza mianya kwa kutumia majina ya wafanyikazi mbalimbali. a) Mtu anayetibu watu hospitalini ni ___?Answer: daktari
- Question 30: b) Anayefunza wanafunzi shuleni ni nani ___?Answer: mwalimu
- Question 31: INSHA Andika insha juu ya shule yetu. (Unaweza kutumia jina la kubuni.)Answer: Shule yetu inaitwa Amani. Iko karibu na soko. Ina madarasa mengi na uwanja mkubwa. Walimu wetu ni wema. Mimi…